Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2021

Ajira wizara ya afya dedline 23 may 2021

Online Job Application Portal MUHIMU: KWA WAOMBAJI WOTE          Sifa za Mwombaji Awe raia wa Tanzania Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi Umri wa miaka 45 Awe hajawahi kuajiriwa Serikalini na kupata cheki namba na endapo mwombaji atakuwa alishaajiriwa Serikalini na kupata Cheki Namba, atatakiwa kuzingatia Utaratibu wa uhamisho au kurejea katika Utumishi wa Umma baada ya kuacha kazi kama ilivyobainishwa kwenye Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 07 Agosti, 2012.               Maombi yote yaambatishwe na nyaraka zifuatazo Nakala ya cheti cha kuzaliwa Nakala ya cheti cha Kidato cha Nne/Sita Nakala ya Vyeti vya Taaluma (Cheti na Transcripts) Nakala ya cheti cha Usajili Kamili (Full Registration) Waombaji waliosoma nje ya Nchi waambatanishe na Ithibati (Accreditation) kutoka Tume ya Vyuo Vikuu...