POST DETAILS POST MTENDAJI WA MTAA III - 2 POST EMPLOYER Halmashauri ya Mji wa Makambako APPLICATION TIMELINE: 2024-06-18 2024-06-26 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES 1. Katibu wa Kamati ya Mtaa 2. Mtendaji Mkuu wa Mtaa 3. Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa. 4. Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa 5. Msimamizi wautekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa. 6. Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama 7. Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa. 8. Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote 9. Kuandaa na kutunza rejes...