Skip to main content

Ajira nafasi ya Mtendaji wa mtaa III -2 Post 2024

 POST DETAILS

POSTMTENDAJI WA MTAA III - 2 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Mji wa Makambako
APPLICATION TIMELINE:2024-06-18 2024-06-26
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

1.    Katibu wa Kamati ya Mtaa

2.    Mtendaji Mkuu wa Mtaa

3.    Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.

4.    Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa

5.    Msimamizi wautekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa.

6.    Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama

7.    Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa.

8.    Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote

9.    Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wa Mtaa wote

10.    Atawajibika kwa Afisa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne/sita aliyehitimu mafunzo ya Astashahada / Cheti (NTA LEVEL 5) katika mojawapo ya fani zifuatazo:  Utawala, Sheria Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATIONTGS B

Comments

Popular posts from this blog

Curriculum for Basic Technician Certificate in Clinical Medicine NTA LEVEL 4

        UNITED REPUBLIC OF TANZANIA   Ministry of Health and Social Welfare                 Curriculum for Basic Technician Certificate in Clinical Medicine   NTA LEVEL 4                     Department of Human Resource Development                                                                          P.o.Box ...

ajira nafasi ya MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST

  POST DETAILS POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale APPLICATION TIMELINE: 2024-06-20 2024-07-03 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji; Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji; Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji; Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji; Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu; Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali; Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji; Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji; Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji; Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi; Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kij...

Barman for a high class Restaurant in Arusha

📥Full Details 1.        POSITION SUMMARY Reporting to the Restaurant Manager /Supervisor, waiter/waitress is responsible for delivering friendly quality and efficient Bar Operations and Stock Management. 2.        F&B SERVER DUTIES AND RESPONSIBILITIES: i.                      Bartenders will be responsible to prepare and serve drinks to customers. ii.                    Mix and match ingredients in order to create classic and innovative drinks in accordance with customers’ needs and expectations. iii.                  maintain positive guest interactions while accurately mixing and serving beverages to guests and servers in a friendly and effi...